Skip links

Swahili Permaculture Design Course - Nov 2025

  • Kuanzia 06/07/2026  – 19/07/2026 
  • Mahali: Shakani, Zanzibar
  • Gharama: TZS 750,000

Zaidi

Taasisi ya Kilimo Endelevu Zanzibar (PPIZ) inafuraha kutangaza mafunzo ya kilimo endelevu (PDC) kwa Kiswahili.

Mafunzo yatafanyika tarehe 06 – 19 Julai 2026.

Ada ya Mafunzo ni TZS 750,000/= ambayo itajumuisha ada ya mafunzo, malazi, chakula pamoja na safari za mafunzo nje ya kituo.

Maswali yanayohusiana na mafunzo tafadhali wasiliana nasi kwa +255 773 900 593 | permaculturezanzibar@gmail.com

Picha