Course information

The course will be conducted from the 11th to the 24th of May 2025.

The course fee is TZS 750,000 which includes training fee, accommodation, food, and a field trip.

To register for this course click the link: https://docs.google.com/forms/d/1TaV1ZNyX1S28TfqPY6Ky02as6Z81J_Hc1qrnT4DqfS0/edit?usp=drivesdk

For inquiries please contact us at +255 773 900 593 | permaculturezanzibar@gmail.com
.
.
Taasisi ya Kilimo Endelevu Zanzibar (PPIZ) inafuraha kutangaza mafunzo ya kilimo endelevu (PDC) kwa Kiswahili.

Mafunzo yatafanyika tarehe 11 - 24 Mei 2025.

Ada ya Mafunzo ni TZS 750,000/= ambayo itajumuisha ada ya mafunzo, malazi, chakula pamoja na safari za mafunzo nje ya kituo.

Kujiandikisha kwa mafunzo hayo bofya kiungo: https://docs.google.com/forms/d/1TaV1ZNyX1S28TfqPY6Ky02as6Z81J_Hc1qrnT4DqfS0/edit?usp=drivesdk

Maswali yanayohusiana na mafunzo tafadhali wasiliana nasi kwa +255 773 900 593 | permaculturezanzibar@gmail.com